SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED
About SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED

Vifaa vya Shule na Ofisi, Uchapishaji na Fomu za Mtandaoni

Huduma za Stationery

SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED inatoa huduma bora za stationery kwa wanafunzi, ofisi na wafanyabiashara jijini Arusha. Tunauza vifaa vya shule na ofisi, kutoa huduma za kuprint na kutoa kopi za nyaraka za aina zote, pamoja na kuwasaidia wateja kujaza fomu mbalimbali za mtandaoni ikiwemo fomu za vyuo, maombi ya mikopo, leseni za biashara na huduma za TRA.

Wasiliana Nasi


Huduma za Stationery

Tunachotoa

Vifaa vya Shule na Ofisi

Vifaa vya Shule na Ofisi

Uuzaji wa vifaa vyote vya kawaida vya shuleni na ofisini.

Uchapishaji na Kopi

Uchapishaji na Kopi

Huduma za kuprint na kutoa kopi za nyaraka za aina zote.

Fomu za Vyuo na Mikopo

Fomu za Vyuo na Mikopo

Usaidizi wa kujaza fomu za udahili wa vyuo na maombi ya mikopo ya elimu.

Leseni za Biashara na TRA

Leseni za Biashara na TRA

Usaidizi wa kujaza fomu za leseni za biashara na huduma za TRA mtandaoni.



Wasiliana Nasi

Phone

· +255 755544733

Address

Ngarenaro NHC & Morombo, Arusha, Tanzania

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details

Translate